Events

No upcoming events

KAMBI LA VIJANA KANDA YA MWANZA MASHARIKI
        NENO KUU: NGUVU YA UMOJA
                    WAEFESO4:3
VIKWAZO,MICHEZO,UFUNDI BOMBA,KUTENGENEZA SABUNI,KOMPYUTA NA MENGINE MENGI.
Mnenaji Mkuu: Pr. KUBA MAYALU
 

 








Kanda ya mwanza mashariki inao mradi mkubwa wa kiuinjilisti kujenga kituo cha mahitaji ya jamii hususa maeneo ya kijiji cha kitongosima Kigangama wilaya ya Magu. karibuni kwa maombi yenu,michango na mawazo ili kuifikia na kufanikisha njozi hii.Na Mungu awabariki.